s:514:"TY General LB CIFORHQ 7096 CY Center for International Forestry Research (CIFOR) AB Toleo hili ni muhtasari wa Mpango wa Kusimamia Bonde Ndogo la Maji (Sub-catchment management plan-SCMP). Muhtasari huu unalenga programu za SCMP, hasa katika kila lengo, tokeo na bajeti ya programu. Muhtasari huu vilevile umetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili ili kuhakikisha kuwa idadi kubwa ya watu inaweza kuusoma na kuwa toleo linapatikana kwa urahisi. Ripoti kamili ya SCMP inapatikana pia kwa mtu yeyote anayetakakuisoma. ";