Toleo hili ni muhtasari wa Mpango wa Kusimamia Bonde Ndogo la Maji (Sub-catchment management plan-SCMP). Muhtasari huu unalenga programu za SCMP, hasa katika kila lengo, tokeo na bajeti ya programu. Muhtasari huu vilevile umetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili ili kuhakikisha kuwa idadi kubwa ya watu inaweza kuusoma na kuwa toleo linapatikana kwa urahisi. Ripoti kamili ya SCMP inapatikana pia kwa mtu yeyote anayetakakuisoma.
Download:
Select file to download
Publisher
Center for International Forestry Research (CIFOR)
Publication year
2018
Authors
Water Resources Authority and Itare-Chemosit Water Resource Users Association (WRUA)
Geographic
Kenya